Enrolment options
Moduli hii itashughulikia utangulizi wa jumla wa fasihi ya kiswahili, tangu karne ya 18 hadi sasa; kwa kurejelea misingi ya utamaduni, ambayo ni muhimu kuelewa kazi za fasihi. Moduli hii itapitia pia tanzu mbalimbali za fasihi ya Kiswahili, mjadala kuhusu sifa za tanzu hizo. Itapitia pia fani na maudhui ya kazi ya fasihi na uchambuzi wa matini teule za fasihi.
Background Colour
Font Face
Font Kerning
Font Size
Image Visibility
Letter Spacing
Line Height
Link Highlight
Text Alignment
Text Colour