Enrolment options

Introduc
Cleanable courses

Moduli hii inakusudiwa  kumpatia mwanafunzi ufahamu wa jumla kuhusu fasihi ya Kiswahili. Ndani ya Fasihi hii ya Kiswahili mwanafunzi atajifunza juu ya historia ya fasihi ya Kiswahili, Tanzu zake, Dhima ya fasihi, na pamoja na namna ya kufanya uchambuzi wa kazi ya fasihi.

Moduli hii imejikita katika kuweka msingi wa masuala ya fasihi ya Kiswahili na fasihi kwa jumla. Moduli inashughulikia masuala kadhaa kama uhusiano wa fasihi na sanaa, uanishaji wa tanzu za fasihi ya Kiswahili, pamoja na mambo yote ya msingi yanayohusiana na fasihi.

Self enrolment (Student)
Self enrolment (Student)
Accessibility

Background Colour Background Colour

Font Face Font Face

Font Kerning Font Kerning

Font Size Font Size

1

Image Visibility Image Visibility

Letter Spacing Letter Spacing

0

Line Height Line Height

1.2

Link Highlight Link Highlight

Text Alignment Text Alignment

Text Colour Text Colour