Enrolment options

KI80441 : Fonolojia na Mofolojia ya Kiswahili
Semester 2

Moduli hii inahusu dhana ya kifonolojia kama vile fonimu, alofoni, mkazo, toni, othografia, silabi n.k. Aidha, moduli hii inahusu uwasilishaji wa aina za maneno katika Kiswahili, vigezo vya uainishaji wa maneno ya Kiswahili katika kategoria za kisarufi. Utambulisho wa vipashio vya kisarufi, sifa za kiima, kivumishi, kiwakilishi, kanuni na miundo yao ya mofofonolojia.  Moduli hii pia inahusisha kanuni za uchanganuzi wa maelezo kuhusu kategoria za kisarufi ya Kiswahili, sifa za kimofolojia za vitenzi vya Kiswahili; muundo wa sehemu za vitenzi vya Kiswahili na upanuzi wa vitenzi, sifa za mnyambuliko katika kitenzi cha Kiswahili kwa kuzingatia matumizi ya yyakati za vitenzi. Hivyo basi, Hivyo basi, katika kazi za kivitendo, wanafunzi watafanya yafuatayo:   

ü Kufanya mjadala wa kina kuhusu dhana katika fonolojia na mofolojia ya Kiswahili;

ü Kutumia TEHAMA kwa kulinganisha na kulinganua fanolojia na mofolojia ya Kiswahili dhidhi ya Kinyarwanda au luha nyingine za kibantu na kuwasilisha matokeo.

Self enrolment (Student)
Self enrolment (Student)
Accessibility

Background Colour Background Colour

Font Face Font Face

Font Kerning Font Kerning

Font Size Font Size

1

Image Visibility Image Visibility

Letter Spacing Letter Spacing

0

Line Height Line Height

1.2

Link Highlight Link Highlight

Text Alignment Text Alignment

Text Colour Text Colour