Enrolment options
Moduli hii inaweka mkazo katika kukuza umilisi wa mawasiliano changamani katika stadi nne za lugha: Kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika. Aina tofauti za matini za mazungumzo na kimaandishi katika kiwango changamani ndizo zinazopewa kipaumbele katika kujenga stadi za lugha. Hivyo moduli inatoa fursa kwa mwanafunzi kuwa na umilisi wa matini changamani za kimazungumzo na kimaandishi.
Background Colour
Font Face
Font Kerning
Font Size
Image Visibility
Letter Spacing
Line Height
Link Highlight
Text Alignment
Text Colour