Enrolment options
Utangulizi wa fasihi ya Kiswahili ni moduli inayotoa mambo ya msingi katika fasihi. Inashughulikia dhana ya fasihi, asili na dhima ya fasihi, utambulisho wa Waswahili, fasihi ya Kiswahili na utamaduni wa mswahili. Inahusu pia na uainishaji wa tanzu za fasihi ya Kiswahili, na umuhimu wa fasihi katika ufundishaji wa Kiswahili, na umuhimu wa fasihi katika utekelezaji wa mtaala unaoegemea katika uwezo. Moduli hii inampatia mwanafunzi misingi ya uhakiki wa kazi za fasihi.
Background Colour
Font Face
Font Kerning
Font Size
Image Visibility
Letter Spacing
Line Height
Link Highlight
Text Alignment
Text Colour