Enrolment options

SWA1343: Mbinu za Uzungumzaji na Uandishi katika Kiswahili
Trimester 3

SWA 1343: MBINU ZA UZUNGUMZAJI NA UANDISHI KATIKA KISWAHILI

 MADHUMUNI YA MODULI:

Lengo kuu la Moduli hii ni kumpa mwanafunzi uwezo wa kuzungumza na kuandika Kiswahili fasaha kwa kuzingatia kanuni za uandishi na uzungumzaji. Hivyo, mwishoni mwa moduli hii, wanafunzi wataweza:

  • Kuandika kuhusu mada mbalimbali kwa kuzingatia kanuni za uakifishaji katika Kiswahili;
  • Kuzungumzia mada maalumu kwa kutumia lugha fasaha;
  • Kusikiliza taarifa mbalimbali katika matini tofauti na kubainisha hoja kuu zilizotolewa;
  • Kusoma kwa makini matini mbalimbali kwa kufuata kanuni za lugha ya Kiswahili;
  • Kutumia lugha ya Kiswahili kwa njia inayofaa katika miktadha mbalimbali.
Self enrolment (Student)
Self enrolment (Student)
Accessibility

Background Colour Background Colour

Font Face Font Face

Font Kerning Font Kerning

Font Size Font Size

1

Image Visibility Image Visibility

Letter Spacing Letter Spacing

0

Line Height Line Height

1.2

Link Highlight Link Highlight

Text Alignment Text Alignment

Text Colour Text Colour