Enrolment options
Moduli hii inaweka mkazo katika kukuza
umilisi wa kimawasiliano katika stadi nne za lugha: Kusikiliza, kuzungumza,
kusoma na kuandika. Dhima mbalimbali za mawasiliano zinajadiliwa. Zaidi ya
hivyo, mchakato wa mawasiliano unajadiliwa pamoja na aina mbalimbali za
mawasiliano zilizopo. Aidha, vikwazo mbalimbali vya mawasiliano vinajadiliwa pamoja
na utatuzi wa vikwazo vya mawasiliano.
Background Colour
Font Face
Font Kerning
Font Size
Image Visibility
Letter Spacing
Line Height
Link Highlight
Text Alignment
Text Colour