Enrolment options
KI80541: Sintaksia ya Kiswahili na Uchanganuzi wa Kilongo
Semester 5
Moduli hii inatarajia kumwezesha mwanafunzi kufafanua dhana muhimu, kueleza na kutumia nadharia za srufi katika kufanikisha uchunguzi na uchambuzi wa sentensi na usemi katika lugha ya Kiswahili.