Enrolment options
Moduli hii inakusudiwa kumpatia mwanafunzi ufahamu wa jumla kuhusu fasihi ya Kiswahili. Ndani ya Fasihi hii ya Kiswahili mwanafunzi atajifunza juu ya historia ya fasihi ya Kiswahili, Tanzu zake, Dhima ya fasihi, na pamoja na namna ya kufanya uchambuzi wa kazi ya fasihi.
Moduli hii imejikita katika kuweka msingi wa masuala ya fasihi ya Kiswahili na fasihi kwa jumla. Moduli inashughulikia masuala kadhaa kama uhusiano wa fasihi na sanaa, uanishaji wa tanzu za fasihi ya Kiswahili, pamoja na mambo yote ya msingi yanayohusiana na fasihi.
Background Colour
Font Face
Font Kerning
Font Size
Image Visibility
Letter Spacing
Line Height
Link Highlight
Text Alignment
Text Colour